Thursday, January 3, 2013

VATCAN DANCERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

"Naitwa young zilla toka smart boyz walioko k h t nimepata idea hii mwezi wa kumi mwaka 2012 kuanzisha kundi langu maana mimi naimba nacheza nachana na kufanya mitindo huru ninacho weza kusema kwa mashabiki zangu mnikwamba wategemee kitu kizuri kutoka kwangu ni mm nitakae ikamata kagera na tz kwa ujumla!!!!!!" alifanya yake kama tulivyo muoji dogo huyu pia huyu ndie alie imba nyimbo kama kipaji ,baby voice, ntamiss,night part nanyingine nyingine nyingi
tunaweza tukifanya tuwasapoti madogo waweze kutoka zaidi ya hapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

1 comment: