Thursday, January 3, 2013

VATCAN DANCERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

"Naitwa young zilla toka smart boyz walioko k h t nimepata idea hii mwezi wa kumi mwaka 2012 kuanzisha kundi langu maana mimi naimba nacheza nachana na kufanya mitindo huru ninacho weza kusema kwa mashabiki zangu mnikwamba wategemee kitu kizuri kutoka kwangu ni mm nitakae ikamata kagera na tz kwa ujumla!!!!!!" alifanya yake kama tulivyo muoji dogo huyu pia huyu ndie alie imba nyimbo kama kipaji ,baby voice, ntamiss,night part nanyingine nyingine nyingi
tunaweza tukifanya tuwasapoti madogo waweze kutoka zaidi ya hapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

Sunday, December 23, 2012

Bad Santa! Father Christmas Sacked For Telling Children He Wasn’t Real

A Santa Claus has been sacked from a garden centre grotto after he allegedly told children, ‘I’m not real, it’s your mum and dad‘.

The Father Christmas also told the three siblings about the US school massacre – before they burst into tears.

Their mother, Wendy Kennett, said what was supposed to be a fun festive day out turned into the ‘worst day of her life’ as her children lost their faith in Santa.

Mrs Kennett, who paid £5.99 per child, said: ‘I was totally furious. I now had three children in tears.’

A spokesman for the garden centre said the Santa was under the impression the boy was playing along for his siblings and wanted to thank him.

Notcutts spokesman Jim Hawker said: ‘We have accepted the customers’ version of events and have dismissed the Santa, apologised and refunded the family.”

D'banj Koko Concert To Be Hosted By Idris Elba.

The annual koko concert is coming up on december 27th featuring G.O.O.D music artists (Big Sean & Pusha T) Kayswitch & the Koko master himself to be hosted by Idris Elba. The dude is surely moving thumps up to D'banj doing great & making Nigerians proud. Osheeeeeeee Eja nlaGood one for D'banj.

The only thing, is that he has not released any new music of late that will fill a show.

The music industry in Nigeria has moved on since the Mohit days. I hope he adds some acts to support, that are currently hot in Naija, like Wiz kid, Iyanya or Brymo.

Otherwise this performance may be step down from what he is used to experiencing in Nigeria in terms of fans and the crowd..I wish him well on dis concert...

Make dem no use gate fee kill us sha..

Pictures Of Chris Brown In Lagos.. Chilling With Wizkid & Eko Hotel ConcerĂ¾

The hottest R&B star Chris Brown performed in Lagos on Saturday, December 22nd with a bunch of other Nigerian artistes like Wizkid and others at the Expo Hall in Eko Hotel, Victoria Island, Lagos…

The concert was sold out despite the starting price of N15,000.. Check out these pictures below of Breezy chilling with our very own ‘Wiz’ and performing on stage later on.. Click link for more photos
chirs  brown in lagos

Have You Ever Taken Time To Think About Common Sense?

If common sense is really common, let us apply it here. which one comes first, Christmas or newyear? Your response will go along way in solving this problem of common sense.

Tuesday, December 11, 2012

RC Aagiza Msikiti Uvunjwe Dar

j
 Na: Nora Damian 
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik, ameagiza kuvunjwa kwa msikiti ulioko kwenye eneo la Shule ya Sekondari ya Majani ya Chai, wilayani Ilala, kwa sababu wahusika walishalipwa fidia tangu mwaka 2004.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa kukabidhi msaada wa madawati 90 na viti 180 kwa Shule za Sekondari Majani ya Chai na Ilala, uliotolewa na kampuni ya mafuta ya TSN, Sadiq alisema yeyote aliyejenga ndani ya mipaka ya shule lazima aondoke.

Alisema msikiti huo ulishalipwa fidia na kwamba wahusika wasiitafute ubaya na Serikali kwa sababu hawana uhalali wa kuendelea kuwepo.

“Ibada ni muhimu lakini fanyia mahali ambapo unastahili na si katika eneo la mtu mwingine…tunaleta migogoro ambayo haina sababu,”alisema Sadik.

“Lazima tuheshimu sheria vinginevyo anaweza kuja askofu na yeye akajenga kanisa lake na matokeo yake ni kuvuruga nchi hii kwa kutozingatia sheria,”alisisitiz

DIAMOND SWAGGA

HUYU NDIE ANAYE TUHUMIWA KUMLOGA DINI DAR AU TANZANITE

    kufika atua ya kukohoa damu  staa huyu amekanusha tuhuma hiyo huyu ndie diamond swagaaaaaa platz


                                                
pia huyu ndie kamba au moyo ukipenda waweza kumuita roho ya wema mwana isaac sepetu
pia huyu ni sukari ya joket mwegero mtoto asili ya kimarekani  

                     nani mkkali hii kutoka smille find smille in facebook